Makapuku Forum

Samaki wake ni watamu sana,nakumbuka mbasa toka lake Nyasa kama sijakosea nawapenda sana
 
I wish nifike huko one day
 
Hongera picha zinamuonekano mzuri sanasana kazi yako ni njema,

Napenda sana dagaa watoke popote nawala naenjoy sana
 
1/Lake Baikal
Ndio pia ziwa kubwa zaidi la majibaridi duniani
Linapatikaba huko milimani Urusi katika jimbo la Siberia karibu na mpaka wa Mongolia
Lina kina cha mita 1642

Ahsanteni kwa nami
Mwisho
...........
Asante sana Mkuu Bitoz nimejifunza mengi leo,vipi lile lake ngozi kule Tukuyu halipo kwenye records nasikia kuna wageni walijribu kupima kina wakapotea sina details sanaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…