Makapuku Forum

Mkuu mi nashukuru tu maana naona maada yoyote inanoga inapo kuwa na kila kitu ndani na kwenye uzi huu tunajifunza mambo mengi sana na tunapo ona utani mapenzi vinafanya tufurahie uzi
Hakuna MTU(HATA MIMI) anayeweza kupangia kipi kiwepo au kisiwepo ...ugomvi na matusi ndo havikubaliki

Ila tu huwa tunakubaliana kwa pamoja km kuna mapungufu tunajadili...hivyo kilichosemwa ni kwamba watu ambao hawana vipindi wajitahidi kubuni na wao ili kuboresha thread


...........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…