NUKUU YA LEO
Those who fight corruption should be clean themselves
Watu wanaopambana na Rushwa wanapaswa kuwa wasafi
Hayo yalipata kutamkwa na Rais was wa sasa wa Russia Bw. Vladimir vladimirovich Putin aliezaliwa 7/10/1952 katika jiji la Sait Petersburg nchini Russia.
Kitaalauma Putin ni mwanasheria na alihitimu shahada ya sheria chuo kikuu cha Sait petersburg mwaka 1975.
Putin alikuwa ni afisa usalama wa Russia Komitet Gosudarstvennoj Bezopasnosti (KGB) kwa miaka 16 .
Amefanya kazi kama afisa usalama wa kimataifa, majukumu yake mengi yalikuwa ni ya kushuligha na nchi za kigeni..
Mwaka 1991 Putin alianza siasa Rasmi akiwa na cheo cha luteni Kanali wa KGB.
Putin amekuwa Waziri mkuu na Rais wa Russia kwa nyakati 2 tofauti kwa kila cheo..
Uongozi wake wa kwanza mwaka 2000-2008 ulikuza uchumi wa Urusi na kuongeza purchasing power kwa 72%
Putin anaamini Rushwa ni adui wa haki, ukipagana kuondoa Rushwa lazima uwe msafi kwanza.
Putin anafahamika kwa uongozi makini huku akitaka Urusi iwe taifa lenye nguvu zaidi duniani japo ukweli unabaki kuwa marekani ataendelea kuleta changamoto kwa urusi .
Hata Tanzania tukitaka kupambana na Rushwa, basi wale tunapambana nayo tuwe na mikono safi..
Gooodmorning.