BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Hebu tuburudike na gitaa la gospel kidogo wakati tunajipanga kuianza wiki nyingine nzuri
BlessedHope usiadimike sana, nitapata presha.
Asante sana kwa wimbo Obe,umeniinua sana usiku wa leo ,ubarikiwe
Hakika Mungu ametutoa mbali,jina lake na liinuliwe ,Sifa,Shukurani,Heshima ,Utukufu ni kwake tu...
