Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,974
poa shem hivi hatujasalimiana nisamehe tu shemShem mambo
poa shem hivi hatujasalimiana nisamehe tu shemShem mambo
Vyawa = vwawaNimekaa vyawa, enzi zile hekima inatamba
Huyo mtumishi wa ilejeNani Huyo mkuu
Unawafuga kisasa wanakuwa ndani ya uzio pia chanjo muhimuWanaboreshwa kivp mkuu
Sawa kumbe ulikuwa unapita tu hapo mpembaNimekaa vyawa, enzi zile hekima inatamba
hajatekwa na mtu yeyote we niletee tulee anaogelea huko alipotekwa kwa vale
Kapotezea huyoSwali ulilo muuliza shululu
Kuna karanga na mchele safi sanaVyawa = vwawa
Amekwenda kwa Baba parokonamtaka nimuone lee wangu niletee
hahahhahah kwahiyo ni wa hukohuko shemela wanguKapotezea huyo
amekwenda kukanyaga mafutaAmekwenda kwa Baba paroko
we unajuaje??hajatekwa na mtu yeyote we niletee tu
Hii ni hali inayo tokea sehemu nyingi ni mapepo ambayo huwa yanaweza kumpeleka mtu yanavyo takaNdio alitushangaza sana
Ni kweliNa ndiyo ulikuwa unaanza, washenzi sana wale jamaa
Nikiwa naenda kutembea tundumaSawa kumbe ulikuwa unapita tu hapo mpemba
SawaHuyo mtumishi wa ileje
SijjapotezeaKapotezea huyo
Huyo binti tuliyekuwa tunaishi naeNani Huyo mkuu
Nyagei anachomekea tuhahahhahah kwahiyo ni wa hukohuko shemela wangu
Ndio maana yake shemhahahhahah kwahiyo ni wa hukohuko shemela wangu