Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,226
- 68,242
Kumbe demu wake naye ni mwanamieleka.![]()
Juzijuzi kamvisha pete ya uchumba demu wake ulingoni![]()
....
Kumbe demu wake naye ni mwanamieleka.![]()
Juzijuzi kamvisha pete ya uchumba demu wake ulingoni![]()
....
1988 - Victor Anichebe anazaliwa.
Straika wa Sunderland ambaye pia amewahi kucheza Everton na huchezea timu ya taifa ya Nigeria.
Anasifika kuwa na mwili mkubwa hivyo kuwapa shida mabeki vimbaumbau kwenye kumkaba.
Safi sana kwenye ndoa mieleka mbaliiii![]()
Juzijuzi kamvisha pete ya uchumba demu wake ulingoni![]()
....
Mungu amtie nguvu Mwalimu Joyce

Hakuna aliyekuja kupatikana tena si ndege wala Camilo.Hongera kwa msimamo,ila hapo hiyo ndege haikuoneka tena?na hakuzikwa?natamani kufahamu zaidi..
Umeamkeje mkuuAsante kwa magazeti ya leo mkuu Lee
Pia nawe uwe na siku njema
Tutahamia kwenye mizeituni.Sijui tutapikia nini
Mi niko poa mkuu hbr ya jpMndali morning
Pitia hapa zaidi...Hongera kwa msimamo,ila hapo hiyo ndege haikuoneka tena?na hakuzikwa?natamani kufahamu zaidi..
Ameni mchungajiTAFUTA KUWA NA AMANI NA WATU WOTE
MITHALI 25
21 Adui yako akiwa ananjaa ,mpe chakula;Tena akiwa anakiu ,mpe maji ya kunywa.
22 Maana utatia makaa ya moto kichwani pake;Na Bwana atakupa thawabu.
Katika suala gumu maishani moja wapo ni hili la kuwapenda maadui zetu,Lakini ndivyo ilivyo hata kwa Bwana Yesu alisema wasamehe maana hawajui watendalo.
Mtu akikukosea Mwambie Bwana Teta nao wanaoteta nami........Zaburi 35 ..................... usiwe na hasira ya kudumu.
Katika somo hili unapompenda na kumtendea mema adui
Bwana atakupa thawabu.
Utakuwa umemsaidia yeye kubadilika pia
Ni adhabu tosha maana neno lasema utakuwa umewasha makaa ya moto kichwani mwake.
Wapendwa siyo kazi nyepesi ila kwa msaada wa Roho Mtakatifu inawezekana.
Tunakushukuru Baba kwa ulinzi wako na kutuamsha salama ,asante kwa yote unayotutendea asante kwa afya ,riziki ,marafiki na maadui tunaomba uendelee kutuimarisha tuweze kuwa na uvumilivu wa kuwapenda maadui na kuwaombea.
Siku ya leo ponya roho zetu,ponya majeraha,ponya wafiwa,wagonjwa ,wenye mahitaji..
Tufundishe kuchukuliana mizigo kwa upendo na kuwa sababu ya furaha kwa wengine na kuwasaidia watu kubadilika na kutenda kadri wanavyopenda kutendewa
Asante Baba kwa sababu utatupa kushinda kila siku za maisha yetu na kutujenga kuimarishana maana hakuna mkamilifu.
Jumapili ya leo ikawe ya baraka ushindi na kutubdilisha.
Kwa jina la Yesu Mpatanishi na Mwokozi wetu Amen
WAPENDWA JUMAPILI NJEMA![]()
Viwili tu mkuu- Leo ni siku ya Vitabu duniani.
Lengo kuu ni kuwahamasisha watu wasome vitabu maana maarifa mengi yapo vitabuni.
Je toka mwaka uanze ushasoma vitabu vingapi?
Asante na kwako piaAsante sana kwa historia Mussolin5 Mungu akubariki kazi yako ni njema,jumapili njema ya baraka
Mizunguko kutafuta soko mama mchungajiPole sana sana nini tena
Mi mzima sijui ww?Mzima mkuu
Lugha ya ngalawa hiyo- Leo ni siku ya Umoja wa Mataifa ya kuhamasisha matumizi ya Lugha ya Kiingereza.
Kuna mtu hapa hataki kusafiri kwa kuwa lugha ya mkoloni sio rafiki kwake.
Indi mkafu utwa mashikuNjema kakq Mwaghona?Mwalamusha?
Vizuri sana mkuu Mussolin52015 - ID ya Mussolin5 inaanzishwa ndani ya JamiiForums.
Leo ni miaka miwili tangu nianze kutumia ID hii maridhawa mara baada ya hapo awali kula life ban kupitia ID ya awali.
Kwa msiofahamu, juyo jamaa mwenye Kofia na midevu kwenye avatar yangu anaitwa Camilo Cienfuego. Alikuwa ni mwanapinduzi wa Cuba alifariki kwa kupotea kwa ndege aliyopanda.
Namkubali sana, thats why huwa siwezi change avatar yangu.
Nawe pia mkuu uwe na JP njemaLeo Katika Historia:
Niwatakie jumapili njema.
Soko la niniMizunguko kutafuta soko mama mchungaji