Makapuku Forum

Aisee ulipost picha ya makalio ya ngedere ungabure yakiwa wazi?
Au ulikwaruzana na mkongwe first class

Kiukweli kabla ya ID hii nilikuwa nyingine ambao niliitumia mwezi mmoja tu nikapoteza password maana nilikuwa mshamba tu sijui hata log in....niliambulia like 3 tu na masimango kibao
Fasta nikaja na hii Bitoz ambayo ina nyota ya ngekewa,..sijawahi kugusa ban
Huwa najiepusha na malumbano mtu akizingua nampotezea tu ndo itamfanya aumie
.......
 
Hongera mkuu

Historia yangu haina mtiririko sahihi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…