Makapuku Forum

Makapuku Forum

Anko wangu alikuwa anasalimia tu, alipitiwa tu anakulove sana wewe.

Mbona nimejibu swali auntie wangu, nimesema nitarusha wimbo wa mbele kwa mbele labda kama kuna swali sijaliona, si unajua weekend mpwao inakuwaga ndefu
Mm nina ombi bada ya mbele kwa mbele uendelee na za remmy kwa week yote

mjomba ako mwambie aendelee kusalimia binamu ila mwambiem nina moyo pia
 
Swalii gumuu
Yaani mama ntilie chakula chake ni ghali kuliko hotelini.
1. Unaweza kufanikiwa kipindu pindu na uharishe chote ulichokula cha wiki nzina na uanze kujaza tumbo upya.
2. Utahara na usifanye kazi siku tatu.
Hizo gharama hamzioni?
Japo wapo akina mama lishe wazuri sio ntilie lkn
 
Mm nina ombi bada ya mbele kwa mbele uendelee na za remmy kwa week yote

mjomba ako mwambie aendelee kusalimia binamu ila mwambiem nina moyo pia

poa, nitamchanganya Remmy (RIP) na mkongwe mwenzake Dekule Kahanga almaarufu Vumbi.


Mjomba wangu huyu naye ana moyo lakini, na macho anaona.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom