Makapuku Forum

Makapuku Forum

Binamu simuelewi mjomba ako kama amenichoka ujue aniambie
halaf binamu haujanijibu swala langu la dr remmy


Anko wangu alikuwa anasalimia tu, alipitiwa tu anakulove sana wewe.

Mbona nimejibu swali auntie wangu, nimesema nitarusha wimbo wa mbele kwa mbele labda kama kuna swali sijaliona, si unajua weekend mpwao inakuwaga ndefu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom