Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
hapana mondray mchukue tu kilazima naona anajibebisha kwa baby wangu si mnajijuaga nyie wanaume mtu akijileta mnamaliza
Hatukosei mshale unapenya na matunda hayoooo
hapana mondray mchukue tu kilazima naona anajibebisha kwa baby wangu si mnajijuaga nyie wanaume mtu akijileta mnamaliza
Lee simuachi ata awapange humu kapukuFanya hivi..
Muachie Lee halafu wewe uje kwangu..
Kuku/Bata system
Ahaaaaaaaah ....Sio kweli mm simchunii mtu nimpendaye..
Na hua namfata popote alipo niwe nae
Wewe unamtaka leee
Mbona unanifanyia hivi vitukoNampenda mpaka nimechanganyikiwaa
Ukiamka utakuta Trump kauporomosha Pyongyongusiku mwema wanandugu
Na lee hampatiSio kweli mm simchunii mtu nimpendaye..
Na hua namfata popote alipo niwe nae
Wewe unamtaka leee
Sii nimemkumbushaautaiweza tu mbona ya net umeiweza
Shemela we angalia tu mpk mwishoNaangalia ila sielewi elewi hivi
Ngoja nitamkalisha chini mtoto wa Mao
Mpaka sasa hajajua jinsi ya kuinggia PyongyangUkiamka utakuta Trump kauporomosha Pyongyong
hahahhah uwiiiiiii ndizi week aisee nitakomaMimi niliwateteaa wakina nyagei
Kwangu mke juzi kaletewa ndiz ...
hakutakiiiiiLee ndo anantaka bana
hahahhha![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hatukosei mshale unapenya na matunda hayoooo
Wewe nawe hutaniwiiiLee simuachi ata awapange humu kapuku