Haleluyaaaaaaa!!!!! Ameeen kilichounganishwa na mwenyezi mwanadamu asikitengue, better mimi everlenk sijawa sababu ya ndoa Yako kuvunjika.......Achana na mimi nimeamua kumrudia mke wangu.
Tena uniogope kama ukoma.
Jimena, washirika wangu wana viwango kupita hata wachungaji wengineHivi ataweza kweli kunena kwa lugha? Poor kondoo wake
Id yako haina mvuto ndo tatizoHahahahaa jimena wangu soma mchezo, kumbuka asubuhi ulisema tusikumbuke yalio pita so hii ni tamthilia mpya, niliyemtongoza jana nimsahau huu ni mchezo mpya mamii, soma script elewa script mkuu nikubalieeee
Hahahaa....! Yelewiii...Nimeamua kumrudia mke wangu, huu mchepuko hauna maana kabisa.
Nahrene mpenzi njoo basi huku mimi vishawishi vinanizidi,watu wananilingishia na kunicheka huku sweetie.
Uko wapi my sweetheart?,rudi basi mpenzi nami angalau nitabasamu,maana nimelia mpaka macho yamekuwa mekundu kama nyanya.
Njoo basi mpezi.
Cc Nahrene.
Ivo yaaniShoka itaungua mpini utabaki.
Jimena mrembo, sema bathi jamn!The only couple ninayoielewa hapa KF ukiondoa ya kwangu
Mke wako hata kwenye akili yangu hayupo,kwanza huyo mimi nampeleka wapi?
Nakukumbusha kutoa likes mkuu hapa sisi mwendo wetu ni toa like na upokee likesKumbe imekuwa gumzo hivyo. pole mkuu
kavurugwa
ni sawa na afe kipa afe beki...Shoka itaungua mpini utabaki.
mkuu mbona najitahidi kutoa likesNakukumbusha kutoa likes mkuu hapa sisi mwendo wetu ni toa like na upokee likes
Kwahiyo wewe ndo unaewafikisha??Kiwelu wew ndo utaisoma namba, ukioa mkeo lazima aje kwangu kwa siri kutaka maombi na lazima niguse hata kama ni kichwani, na ke ndio wanaongoza kutaka maombi, wanaletaashtakaza bwana zao ooh hanifikishi hana nguvu meombee, nani aisoma namba sasa!
Ohooo unataka kuolewa na id au mtu smart, mwenye mahaba mazito!Id yako haina mvuto ndo tatizo
Tena naomba uniache nenda kwa huyu mchungaji wako jambiloHaleluyaaaaaaa!!!!! Ameeen kilichounganishwa na mwenyezi mwanadamu asikitengue, better mimi everlenk sijawa sababu ya ndoa Yako kuvunjika.......
Wote wamepiga chini now am free molecule sitaki mume wa mtu. ..............Kwahiyo unamtaka nani kati ya jambilo na youngblood?
Muulize patience123Kwahiyo wewe ndo unaewafikisha??
Sa mbona unamtimua fasta hivyoAchana na mimi nimeamua kumrudia mke wangu.
Tena uniogope kama ukoma.