kumbe nimegusa maslahi yako? pole mkuu...We nae sasa unaharibuuu[emoji134] [emoji134]
powa powa, hata Moshi kwa Mtei ni nyumbani pia mkuu ..Poa mkuu pamoja sana, mimi niko Mo town hapa.
Hajaniambia .Mmmmh kazi kweli unajua jambilo ni mume wa mtu
Tafuta wako![emoji35] [emoji35] [emoji35] acha kusifia mali za wenyewe nitakutoa kishipa.Alijileta mwenyewe baadae kakimbia. Kumbe mkeo!
Nisamehe, lkn yuko poa sanaaa
tuko pamoja mkuuMkuu musolin5 natambua uwepo wako mkuu
Cc Patience123Jimena nakupenda sana[emoji173] [emoji485]
Musolin5 anachanganya ugoro kwenye mboga..mambo ya yanga na mwarabu tena!We nae sasa unaharibuuu[emoji134] [emoji134]
Umepotea Dada bora ufanye yako tuHajaniambia .
Mhhh nilijileta[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] Pastors nao waongo?Alijileta mwenyewe baadae kakimbia. Kumbe mkeo!
Nisamehe, lkn yuko poa sanaaa
Kwani hatokuja KF?Utampata wapi sasa.
mkuu utabiri wako umetimia.Hhahaha
Jimena atakunyonya macho
Poa bro ni shetani tu alitupitia.Kijana heshimu ndoa yangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ohooo kama na mshana mwajuana kwaheri
Jimena sas dharau, ukinikatalia na jf naacha, halafu mpenzi kale[emoji121] kajina usiniite tena eee
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Naona unataka kuchafua hali ya hewa.Isn't me??? Oohhh sema haki ya mama. ........ila wapi Nahrene?