Makapuku Forum

Makapuku Forum

Asante kiongozi kwa ukumbusho ...twende kwenye mada

Tatizo kuu linakuja watu tanakuwa waongeaji bila matendo humu kila mtu akitaka kuwa na kipengele chake inawezekana kabisa muhimu ni kujitoa ili kuliendeleza jukwaa letu ...

Unaposema mtu anaquote kimzaha nahisi sio kweli japo yawezekana kuna ukweli ndani yake ila kama ni ishu ikipostiwa huwa naona watu wanachangia japo kwa ufupi

Mda mwingine ni lazima kufanya kinachoonekana kuwakera wengi hasa mapenzi lengo kusogeza Uzi na utani ukiwemo ila simply watu tunaondoa stress zetu hapa

shukrani
Umekitendea haki cheo chako
 
dc6f0bbf980fc388c2ce075d197db974.jpg
8b6430e606761ecdc0e9f036f493547a.jpg
27e3e1771b483fc6408d7795cb520340.jpg

Huku kwetu Sizonje ni mkubwa kuliko Bunge, katiba na Mahakama
.....
Yeye ni dereva bora
 
1997 - Makachero wa FBI waanza upya upelelezi wa kifo cha Mtoto Jon Benet Ramsey.

JonBenet Ramsey aliuwawa mwaka 1996 akiwa na miaka 6 tu katika mazingira yenye utata mkubwa akiwa nyumbani kwao na mpaka leo muuaji wake hajajulikana na kesi yake bado ipo wazi.

Kabla ya kifo chake mtoto JonBenet Ramsey alikuwa ni mshindi katika shindano la Mamiss watoto.
a542c021c8d2b70cb8b485e9e2f7a6e4.jpg
60c64ca617ae6092211fe4a42c84f736.jpg
893ec53647a463db184c9cf5f67ae887.jpg
ccf6f3eb73e970d8af71609cc4dcbd.jpg
9d19bcf3eef5e4cf824000968ab19fa7.jpg
Sasa wauaji walikuwa na maslahi gani na huyu mtoto au ndo kukomoa wazazi wake tu
....
 
makapuku
siku njema uonekana hasubuhi, na mimi kama kama kapuku mwenzenu nawatakia siku njema yenye mafanikio
leo una kila sababu ya kutimiza jambo ulilolipanga kwakua unauwezo mkubwa within you though you had doubt yourself
ebu anza siku ya leo ukiwa na ma positive thinking in your mind, ahahah!
lakin hayo yote yataenda bila kumsahau Mungu wako
Sodataaa praise the Lord
 
Tujitahidi tu kujilimit kuna muda mtu anakuwa bored hivyo ataingia huku afurahi na familia yake.
Ndo hivyo
Kuondoa stress muhimu ila iditufanye kuacha kujadili mambo yenye kulisha ubongo
Thread ni ya mambo mchanganyiko yaani tuiboreshe kiasi mtu akiwepo hapa apate kila kitu hadi kusahau km kuna Vingongo Forum

.........
 
Asante kiongozi kwa ukumbusho ...twende kwenye mada

Tatizo kuu linakuja watu tanakuwa waongeaji bila matendo humu kila mtu akitaka kuwa na kipengele chake inawezekana kabisa muhimu ni kujitoa ili kuliendeleza jukwaa letu ...

Unaposema mtu anaquote kimzaha nahisi sio kweli japo yawezekana kuna ukweli ndani yake ila kama ni ishu ikipostiwa huwa naona watu wanachangia japo kwa ufupi

Mda mwingine ni lazima kufanya kinachoonekana kuwakera wengi hasa mapenzi lengo kusogeza Uzi na utani ukiwemo ila simply watu tunaondoa stress zetu hapa

shukrani
Kuquote nilipopazungumzia ni ilestyle ya mtu kutoka tu "kuquote kwa lazima" mambo muhimu kisha kucomment tu ili aonekane
Samtaimu inachekesha
......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom