Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
1926 - Malkia Elizabeth wa II anazaliwa.
Ni Malkia wa Uingereza toka mwaka 1952 akidumu madarakani kwa miaka 65 na kumfanya kiongozi aliyekaa muda mrefu zaidi.
Ndio mkuu wa Jumuiya ya Madola.
Mbona hatuwasikii Wamarekani wakitokwa povu na kupeleka majeshi UK ili kuuondoa huu utawala wa kurithishana
....