Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ninachoshauri story ziendelee tu Ila kuhusu vipindi, magazeti, unbelievable fact, leo katika historia pamoja na picha, ratiba na matokeo viwanjani, Je wajua, (Mondray & Bitoz) Good music pamoja na sala ya asubuhi na jioni tuvipatie muda tu na umuhimu wake.
Umeongea vizuri
Ukisoma kwa makini utaelewa nilichosema kwamba "kitu kikizidi ni sumu" sijasema stori zisiwepo

Unaweza kuendelea kufafanua
....
 
0b2ab951dcca9ef97cf55d932f8a46c3.jpg
2d5fd1c27add1edc98d2967cc3617f70.jpg
6edfcd112900f41d88170e099025e635.jpg

Huyu na Ceorge Washington nani mwenye heshima zaidi?
.......
Heshima kubwa anayo Benjamin Franklin kwa kushiriki kwake kikamilifu katika Uhuru pia kufanikisha upatikanaji wa katiba ya Marekani.

Umri mkubwa pamoja na kuumwa kulimfanya ashindwe kuwa Rais, hivyo nafasi ikaenda kwa George Washington.
 
Heshima kubwa anayo Benjamin Franklin kwa kushiriki kwake kikamilifu katika Uhuru pia kufanikisha upatikanaji wa katiba ya Marekani.

Umri mkubwa pamoja na kuumwa kulimfanya ashindwe kuwa Rais, hivyo nafasi ikaenda kwa George Washington.
005ed09638b68ebf0ff674e99303fc3b.jpg

Siku zote nilifikiri Washington ndio baba wa Taifa la Marekani maana hutajwatajwa sana
.....
 
Za asubuhi waungwana
Nafikiri km wiki mbili zilizopita "tulikubaliana" kuirudisha hadhi ya thread kwa kuipendezesha kwa kuleta vipindi vinavyovurua....wapo walioonyesha msisitizo kwa kuleta vitu vizuri km One yy kuanzisha cha muziki. Lee jaanzisha facts, Transcend kuanzisha nukuu Mimi pia nimejaribu kuleta Top Ten na Mambo usiyoyajua muda wa Joni/ usiku bila kumsahau Nyagei na update zake

Lakini cha kushanfaza mwitikio ni mdogo watu tumejisahau tunapiga tu stori za mapenzi asubuhi hadi usiku bila much OK a na mtu akileta kipindi anapuuzwa tu na mtu anaamua kuquote kwa masihara tu

Humu yupo watu wa aina zote au taaluma meal in bal i tujitahidi kuelimishana, pamoja na kufahamishana mambo mbalimbali yenye faida na tuwe tunapiga stori pia
Kumbukeni too much is harmful matokeo yake thread inadharaurika na kuonekana tu km ya watoto wa Primary

Nakaribisha maoni ya kujenga kukosolewa maana thread ni yetu sote na usitoshe wengine hupgopa jutoa maoni kwa kuepuka kuonekana wana midomo

Turekebishane kwa upendo
Karibuni
.....
Asante kiongozi kwa ukumbusho ...twende kwenye mada

Tatizo kuu linakuja watu tanakuwa waongeaji bila matendo humu kila mtu akitaka kuwa na kipengele chake inawezekana kabisa muhimu ni kujitoa ili kuliendeleza jukwaa letu ...

Unaposema mtu anaquote kimzaha nahisi sio kweli japo yawezekana kuna ukweli ndani yake ila kama ni ishu ikipostiwa huwa naona watu wanachangia japo kwa ufupi

Mda mwingine ni lazima kufanya kinachoonekana kuwakera wengi hasa mapenzi lengo kusogeza Uzi na utani ukiwemo ila simply watu tunaondoa stress zetu hapa

shukrani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom