Za asubuhi waungwana
Nafikiri km wiki mbili zilizopita "tulikubaliana" kuirudisha hadhi ya thread kwa kuipendezesha kwa kuleta vipindi vinavyovurua....wapo walioonyesha msisitizo kwa kuleta vitu vizuri km One yy kuanzisha cha muziki. Lee jaanzisha facts, Transcend kuanzisha nukuu Mimi pia nimejaribu kuleta Top Ten na Mambo usiyoyajua muda wa Joni/ usiku bila kumsahau Nyagei na update zake
Lakini cha kushanfaza mwitikio ni mdogo watu tumejisahau tunapiga tu stori za mapenzi asubuhi hadi usiku bila much OK a na mtu akileta kipindi anapuuzwa tu na mtu anaamua kuquote kwa masihara tu
Humu yupo watu wa aina zote au taaluma meal in bal i tujitahidi kuelimishana, pamoja na kufahamishana mambo mbalimbali yenye faida na tuwe tunapiga stori pia
Kumbukeni too much is harmful matokeo yake thread inadharaurika na kuonekana tu km ya watoto wa Primary
Nakaribisha maoni ya kujenga kukosolewa maana thread ni yetu sote na usitoshe wengine hupgopa jutoa maoni kwa kuepuka kuonekana wana midomo
Turekebishane kwa upendo
Karibuni
.....