Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Bado hajafikia level ile![]()
![]()
![]()
Jamaa ni super sub km Ole Gunnar Solskjaer
.....
Bado hajafikia level ile![]()
![]()
![]()
Jamaa ni super sub km Ole Gunnar Solskjaer
.....
Magazeti huwa unafatilia kweli ?,Si unajua mastori mengi hivyo sikuona post yako
Mi huwa nafuatilia zaidi vipindi vyenu na stori zisizohusu mapenzi
Hivyo nisamehe
........
Wazo jema SanaNdo hivyo
Kuondoa stress muhimu ila iditufanye kuacha kujadili mambo yenye kulisha ubongo
Thread ni ya mambo mchanganyiko yaani tuiboreshe kiasi mtu akiwepo hapa apate kila kitu hadi kusahau km kuna Vingongo Forum
![]()
![]()
![]()
![]()
.........
Washirikishwe na CIAHilo swali mpaka leo limekosa majibu mkuu.
Mtoto wa miaka 6 mpaka wanamuua aliwakosea kitu gani?
Ni moja kati ya kesi ambazo zinawatoa jasho FBI mpaka leo.
Mkuu umenigusa vibaya... Mungu akubalikimakapuku
siku njema uonekana hasubuhi, na mimi kama kama kapuku mwenzenu nawatakia siku njema yenye mafanikio
leo una kila sababu ya kutimiza jambo ulilolipanga kwakua unauwezo mkubwa within you though you had doubt yourself
ebu anza siku ya leo ukiwa na ma positive thinking in your mind, ahahah!
lakin hayo yote yataenda bila kumsahau Mungu wako
Hongera ya kinyonge hivyoOngeraaa
Nikiamka ndo kitu cha kwanzaMagazeti huwa unafatilia kweli ?,
Boss wake huyo![]()
![]()
![]()
Mbona hatuwasikii Wamarekani wakitokwa povu na kupeleka majeshi UK ili kuuondoa huu utawala wa kurithishana
....
Mungu ni mwema tumeamka salama hasa Kwa pande hizihabari za asubuhi wakubwa
mmeamkaje??
Sawa mkuu ila magazeti huwa yanawahi kabla ya mastori ya jukwaani ...asubh tunajitahd utan sio sanaNikiamka ndo kitu cha kwanza
Sema nakutana na mastori mengi hivyo nasomaga kimyakimya maana maana nakuta hakuna sehemu ya "kupumulia"
........
NaamNisaidie mkuu kumuita huyu mtu koz amezid misele
chetuOngeraaa
i seeMungu ni mwema tumeamka salama hasa Kwa pande hizi
Nimemumisi => NimemmisiJamani nimemumisi nyagei
Inajifunza kukimbia sasaHii thread inatembea....
acha kumfananisha Solskjaer na vitu vya ajabu ajabu 😱oops:![]()
![]()
![]()
Jamaa ni super sub km Ole Gunnar Solskjaer
.....
na mm si inanihusu hiyo hongeraOngeraaa