Makapuku Forum

Habarini za asubuhi Makapuku

Kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu nilishindwa kuwaleteeni matokeo ya mechi zilizochezwa jana za Europa league.
Leo tutaziangalia mechi za ligi zikiendelea kurindima
 
Ameen mama mchuchu ubarikiwe na ww
 
Za asubuhi waungwana
Nafikiri km wiki mbili zilizopita "tulikubaliana" kuirudisha hadhi ya thread kwa kuipendezesha kwa kuleta vipindi vinavyovurua....wapo walioonyesha msisitizo kwa kuleta vitu vizuri km One yy kuanzisha cha muziki. Lee jaanzisha facts, Transcend kuanzisha nukuu Mimi pia nimejaribu kuleta Top Ten na Mambo usiyoyajua muda wa Joni/ usiku bila kumsahau Nyagei na update zake

Lakini cha kushanfaza mwitikio ni mdogo watu tumejisahau tunapiga tu stori za mapenzi asubuhi hadi usiku bila much OK a na mtu akileta kipindi anapuuzwa tu na mtu anaamua kuquote kwa masihara tu

Humu yupo watu wa aina zote au taaluma meal in bal i tujitahidi kuelimishana, pamoja na kufahamishana mambo mbalimbali yenye faida na tuwe tunapiga stori pia
Kumbukeni too much is harmful matokeo yake thread inadharaurika na kuonekana tu km ya watoto wa Primary

Nakaribisha maoni ya kujenga kukosolewa maana thread ni yetu sote na usitoshe wengine hupgopa jutoa maoni kwa kuepuka kuonekana wana midomo

Turekebishane kwa upendo
Karibuni
.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…