Makapuku Forum

Makapuku Forum

c780a7ba5ddd254fadb260932385872d.jpg

S.Nyerere akiwa anazungumzia juu ya swala linaloendelea kwa wasanii wa Bongo Movie na bwana mkubwa wao........
Dah wabongo si watu wakispot spot hahaha sasa hapo labda alikuwa anahesabu vidole akafika dole la kati mka...
 
Baba Mungu Mwenyezi tunakushukuru sana kwa wema wako unaotutendea siku hadi siku,asante kwa kutuamsha salama na kutupa uzima na afya njema,tunaomba utusamehe makosa yetu tuliyokukosea kwa mawazo ,maneno,matendo tunaomba utusaidie tuwe na upendo na uvumilivu katika maisha yetu kila siku tunawaombea wagojwa,wafiwa,wenye shida mbalimbali,wazazi,watoto,vijana wasafiri wape kukutegemea wewe tu,wasipungukiwe..bariki kazi za mikono yetu ,utafutaji utubariki tuingiapo na tutokapo,Asante Bwana Yesu maana utatenda sawa na mapenzi yako Amen

1 Nyakati 23

30 Nao wasimame kila asubuhi kumshukuru na kumsifu BWANA na jioni pia

Tunapaswa kumshukuru BWANA MUNGU wetu kila wakati.

Haijalishi tunapiti changamoto gani.

Tumshukuru kuashwa salama sio kwa uwezo wetu.

Tumshukuru kwa riziki na neema anazotupatia peke yetu hatuwezi.

Tumshukuru ametupa marafiki wema,ndugu hata mahali hapa MAKAPUKU tunapokutana na kufurahi ni Upendo wake.

Hata tukipungukiwa tushukuru maana ni kwa muda tu ,atatuinua tena.

ASANTE MUNGU KWA YOTE UNAYOTUTENDEA.

Muwe na siku njema mbarikiwe
 
No, he was not. Koo za kifalme Ulaya zilikuwa na kawaida ya kuoana ndani ya family "kutochafua damu" yaani mjomba kumuoa mpwa, dada kumuoa kaka, nk. Kibaiolojia hili ni tatizo na ndilo lililomkuta king Charles II
Ooooh kumbe asante,hata sasa wapo nimeona madhara baadhi ya families. So sad wengine wanazaliwa na mtindio wa ubongo ,au wanadumaa Mungu atusaidie tutambue
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom