Makapuku Forum

Makapuku Forum

Baba Mungu Mwenyezi tunakushukuru sana kwa wema wako unaotutendea siku hadi siku,asante kwa kutuamsha salama na kutupa uzima na afya njema,tunaomba utusamehe makosa yetu tuliyokukosea kwa mawazo ,maneno,matendo tunaomba utusaidie tuwe na upendo na uvumilivu katika maisha yetu kila siku tunawaombea wagojwa,wafiwa,wenye shida mbalimbali,wazazi,watoto,vijana wasafiri wape kukutegemea wewe tu,wasipungukiwe..bariki kazi za mikono yetu ,utafutaji utubariki tuingiapo na tutokapo,Asante Bwana Yesu maana utatenda sawa na mapenzi yako Amen

1 Nyakati 23

30 Nao wasimame kila asubuhi kumshukuru na kumsifu BWANA na jioni pia

Tunapaswa kumshukuru BWANA MUNGU wetu kila wakati.

Haijalishi tunapiti changamoto gani.

Tumshukuru kuashwa salama sio kwa uwezo wetu.

Tumshukuru kwa riziki na neema anazotupatia peke yetu hatuwezi.

Tumshukuru ametupa marafiki wema,ndugu hata mahali hapa MAKAPUKU tunapokutana na kufurahi ni Upendo wake.

Hata tukipungukiwa tushukuru maana ni kwa muda tu ,atatuinua tena.

ASANTE MUNGU KWA YOTE UNAYOTUTENDEA.

Muwe na siku njema mbarikiwe
Mama mchungaji uzidi kubarikiwa
 
Tafakari ya kirat..

1c5ea4c3c16548bec669503a41340356.jpg
 
Ahaaaah humu bado tunafaidi wachache

Mondray bado

Mkubhi kaamuaa awe single

Shedede inspector anatapatapa

Baba paroko naye eti ni bahili

Shunie & lee empire kama kawaida kimubashara

Sakayo & Transcend yanang'ara
hahaha tatizo mmejimilikisha kinyume cha taratibu

inabidi tutangaze za buni upya maana mdogo wangu mondray anatapa tapa tu hajui pakushika

Na kweli mnafaidi wachache tu mali za uma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom