Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,278
- 35,639
Pamoja bhinamu
Sema umetusahau ...nyuzì ziongee bhinamu
Kwenye suala la nyuzi, najaribu kuangalia muda muafaka ambao hauingilii Magazeti, Fun Facts, na Historia hizi ni segment muhimu. Leo nitamrusha gwiji mmoja tena wa Afrika Magharibi