Makapuku Forum

Asante mdau, mwenyewe hata hicho kilugha kinachoimbwa sikielewi sema gitaa ni kama mchezo wa soka, una lugha moja, utamu makinifu.
Nimejisikia vizuri kuwa umetenga muda wako kusikiza nilichopost japo najua ni mida mibovu
Kweli bro
Ila wewe ni popo mzuri zadi ya yule bawa..
Hebu uwe unaziweka watu wakiwa on fire
 
Ha hahhahha, watu wakiwa on-fire hawasikizi nyimbo wanalonga tu.

Mida ya mapopo kwa mimi ndo mizuri maana hakuna kelele, na net inakuwa imetulia kabisa
Nitakuamsha nikimaliza kuangalia game, nimebet

Kubeti ni haramuu...
 
Asante kwa gitaa ila nimeshindwa kusikiliza kabisa.

Mimi mzima namshukuru sana Mungu,wewe je?naomba nifahamu nikuite nani..ubarikiwe
 
Asante mdau, mwenyewe hata hicho kilugha kinachoimbwa sikielewi sema gitaa ni kama mchezo wa soka, una lugha moja, utamu makinifu.
Nimejisikia vizuri kuwa umetenga muda wako kusikiza nilichopost japo najua ni mida mibovu
Nimejaribu kufungua nimeshindwa,inabidi nilale nijaribu asubuhi mbarrikiwe
 
Asante kwa gitaa ila nimeshindwa kusikiliza kabisa.

Mimi mzima namshukuru sana Mungu,wewe je?naomba nifahamu nikuite nani..ubarikiwe

Asante kushukuru japo umeshindwa kulisikiza gitaa la mkongwe pamoja na kora. Well, niite mtaasisi ukishindwa kuniita Obe
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…