Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
No..Bwana wee
Nimeshainua mikono juu toka kitamboo
Kama hujaridhika useme tuu..
We go down to the field..!
But one man comes out..kama zile nguma za kina Scofield gereza la Sona.
No..Bwana wee
Nimeshainua mikono juu toka kitamboo
I love my woman
Nakupenda mke wa ndoto zangu..
Nakupenda ubavu wangu..
Nakupenda utamu wangu...
I wish you a nice sleep. ...
Thinking out loud..
Mwambie machalii wanawakubali kinyama.Wanatusakama sana bwna

I love my woman
Nakupenda mke wa ndoto zangu..
Nakupenda ubavu wangu..
Nakupenda utamu wangu...
I wish you a nice sleep. ...
Thinking out loud..
!!!! Nawe piaUsiku mwema Wana familia
Ulale salama...!!Aaaaah mkuu tupa hiyo story hukooNo..
Kama hujaridhika useme tuu..
We go down to the field..!
But one man comes out..kama zile nguma za kina Scofield gereza la Sona.
S5E2 tayari...toka last weekI
Aaaaah mkuu tupa hiyo story hukoo
Mm nakuzingua tu...
Hebu nipe Update za PB
Sijajua kabisaUmeshajua sema unataka nione aibu tu
MamboSawa
Mwenyewe ndo natua saivi
UbarikiweAmina amina mama mchungaji nachokupendea umesimama kiimani, Mungu azidi kukupa hekima na utashi daima, salimia familia na ulale salama nawafunika kwa damu ya yesu kristo wa Nazareti amina
My sisyUbarikiwe
Mie kiukweli cjasomaBitoz asante nimeyaona
lee empire mjomba asante kwa magazeti
Transcend uzi unakimbizwa sana yaani ukiamka kama kumekuchwa
Shunie magazeti hayana formula, inabidi yawekwe asubuhi, mchana na jioni
Hawa kwa namna walivyolike, nina mashaka kama walisoma magazeti
Sakayo , mkubhi , Clkey
BlessedHope hujambo ? (unaponijibu usiwe unaniita mkuu tafadhari)
PoaMambo
HiSijajua kabisa
ShemS5E2 tayari...toka last week
Tena haswaa htuna mbwembwe nyingi banana kwa san na life inaendaMwambie machalii wanawakubali kinyama.![]()
Kiruuu una kazi nazoNimepamisi sana humu hebu nikaribisheninkwa Likes Mia mBili nina kazi nazo mazeeiiyaaa