dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
Hahahahahah aisee ni kwel jombaaUnataka Clkey na Valentine wapite na wewe eeh?
Hahahahahah aisee ni kwel jombaaUnataka Clkey na Valentine wapite na wewe eeh?
Amina amina mama mchungaji nachokupendea umesimama kiimani, Mungu azidi kukupa hekima na utashi daima, salimia familia na ulale salama nawafunika kwa damu ya yesu kristo wa Nazareti aminaAsante mkuu Archduke uwe na usiku mwema ,Mimi na Baba Mchungaji tunakuombea Amani Furaha,Hekima na upendo Mungu akupe mahitaji yako yote sawa sawa na mapenzi yake.Ubarikiwe makaikq walinzi waweke kituo wakuzunguke usiku wote na siku zote za maisha yako![]()
ktk kitu siwezi sahau baba paroko ni kusali ata nilewe vipiVipi unasinzia, Usisahau kusali plz
na kwako pia dada n mm nalalaUsiku mwema mama
Shunie ameshalala, nikutakie nawe usiku mwema lala salama Mungu akubariki sana.Usiku mwema mama
Sasa naanzaje kusema yes wakati sijaelewa bado?Haahahhahah baby please at least say YES, bashite ndiyo nani baby mbona mwenye jina hilo hajitokezi, hakuna bashite Tanzania
Hebu nambie waomba nini mwayaHapa nimepiga goti chumbani kwangu unajua naomba nini Mungu baba anasikilize???
Nini tena baba parokoOhhh kumbe![]()
Bwana weeDaah!
Dogo wewe ndo wakuniambia hivi?
Mwambie kama anafikiri anauhuru wa kutujoke warembo wa chuga kiwango hicho a watch out... Not to that extentUnataka Clkey na Valentine wapite na wewe eeh?
Dah nimefurahi kusikia hivyo, hiyo ni chachu kwa wale wanaolala bila kuomba,ktk kitu siwezi sahau baba paroko ni kusali ata nilewe vipi
Sawana kwako pia dada n mm nalala
Amina na kwako piaShunie ameshalala, nikutakie nawe usiku mwema lala salama Mungu akubariki sana.
Bashite ameleta shida gani tena kwa valentina, jamani huyu mtu mwenye ili jina ajitokeze hawezi vuruga mambo ya watu namna hii kitaifa, kimkoa, kiwilaya, kitarafa, kijiji, kikata na sasa kifamilia nimemkosa valentina kisa eti anasema bashite sio mtu wakufananisha nae nimekoma, sasa valentina wewe kiroho ni baby wangu ila kimwili ni shemejiSasa naanzaje kusema yes wakati sijaelewa bado?
We huyo Bashite wako ulienifanqnisha nae mwambie akutaftie mke
I love my womanUsiku mwema T wangu..
Mungu wangu akutunze jamani laazizi
Nakupenda sana T wangu, Mungu ndo anajua

Umeshajua sema unataka nione aibu tuHebu nambie waomba nini mwaya
Hahahaaaa!Ni kwann watu wanahis Ar wanawake ni wakorofi lkn , lkn pia kwa hyo picha Ar pana baridi kma kipindi hiki kwa hyo usivae sweta ama koti kisa waenda kutana na mtu kesho ukiumwa kifua kisa fasheni itakuwaje? Mtuache bwana masela wetu wanatukubali mbona labda nyie wa mikoani
Wanatusakama sana bwnaHahahaaaa!
Naona umeamua kuwapa za uso kabisa..