Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,666
- 50,981
Hapa nimepiga goti chumbani kwangu unajua naomba nini Mungu baba anasikilize???Kazi ya ukuwadi naona unaimudu vema
Hapa nimepiga goti chumbani kwangu unajua naomba nini Mungu baba anasikilize???Kazi ya ukuwadi naona unaimudu vema
HahaaaaMR T ndiyo chaguo la dada yetu sakayo, asiyekubali kushindwa sio mshindani, nami ni mshindani halisi, vipi huna sehemu pakutua shunie, sakayo sasa usimguse valentina yani sio kwa maombi hayo nitakayo poromosha
Ohhh kumbeNina dawa za kuongeza mvuto kwa mpenzio

Unataka Clkey na Valentine wapite na wewe eeh?![]()
Chuga raha sana
kwakweli acha nilaleKalale
Daah!Mm mwenyewe nimeshamuachia
Namuheshim shemeji...
Usimsumbue sasa, wacha wapeane rahaMm mwenyewe nimeshamuachia
Namuheshim shemeji...
Tafuta mkuu wapo wengi sema, Usimguse valentina wangu, kiroho changu kumoyo kudunda utakata wayaAsie na babie nae inakuwaje mkuu!?!?
Mkuu concept ni kuja na sweta huyo Dog kama anawaudhi niwatake radhi tuUnataka Clkey na Valentine wapite na wewe eeh?
No..Usimsumbue sasa, wacha wapeane raha
hahahhah abebe jiweKila mtu atafute pakupumzikia asiye na mwana basi tena
hahahha baba paroko vumilia mbavu zanguHaahahhahah baby please at least say YES, bashite ndiyo nani baby mbona mwenye jina hilo hajitokezi, hakuna bashite Tanzania
Vipi unasinzia, Usisahau kusali plzkwakweli acha nilale
Mimi nitazidi kumuombea pepo la uboya limtoke,No..
Muache! Kuna kitu anakitafuta ila ajue atakipata muda si mrefu
Usiku mwema T wangu..Sweet
Ni kwann watu wanahis Ar wanawake ni wakorofi lkn , lkn pia kwa hyo picha Ar pana baridi kma kipindi hiki kwa hyo usivae sweta ama koti kisa waenda kutana na mtu kesho ukiumwa kifua kisa fasheni itakuwaje? Mtuache bwana masela wetu wanatukubali mbona labda nyie wa mikoaniHahahaaaa!
Nilijua tuu lazima umkwide
hahahha baba paroko vumilia mbavu zangu
Pole sana naomba lee akushike usiangukeUsiku mwema mamakwakweli acha nilale
Asante mkuu Archduke uwe na usiku mwema ,Mimi na Baba Mchungaji tunakuombea Amani Furaha,Hekima na upendo Mungu akupe mahitaji yako yote sawa sawa na mapenzi yake.Ubarikiwe makaikq walinzi waweke kituo wakuzunguke usiku wote na siku zote za maisha yakousiku mwema kwenu wapendwa nawapenda nyote
Mondray
Nyagei
Mkhubi
Shunie
Toxic
Transcend
Valentina
Sakayo
Bitoz
Snipes
Quigley
Clkey
Mama na Baba mchungaji (nahitaji maombi tafadhari
Shimba
Aisha
Lee
Obe
na wengine woteeeeeee mpaka wale nisiowataja nawapenda bureee
naenda kujiandaa na game
bai bai
