Rogie
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 7,600
- 6,721
Wewe ni fisadi mkuu
Hahahaha nimemfisadi nani?
Wewe ni fisadi mkuu
Ndioooduuh! kumbe
nipoje mmInaonekana na wewe uko hivyo![]()
![]()
![]()
Kukwambiaa ndizi ndo usumbufuLee kaka
Ndio maana huishi porini nini?Lee empire kazi inaelekea kukushinda.... Usije Ukasema sikukwambia.. Remember : vulture is a patient bird.
karibu tena JoseYeah mzima sana tu..nimefarijika kwa reply yako![]()
![]()
![]()
Wa nini tenaNitafutieni mlinzi mwingine
Tena makubwa...as in Maury' voice "When it comes to one year Lee junior, Shedede the body guard YOU ARE THE FATHER!!!"![]()
![]()
![]()
Kuna maslahi hapo
Achana naeeanalipwa na lee kuna swali lingine msukuma
Ishu ya Rwanda ilianza baada ya kutoka kapa hapa. Shedede shahidi yangu mpaka yeye naona kageuka mlinzi eti kaajiriwa na Lee kumchunga Shunie asidabuliwe na majamaa mengine. Kuna uhaba mkubwa wa negative charge hapa JF...
Niko safi kabisaaaHapa tuko poa hapo ulipo je?
Hahahaha dah sina cha kuongezaHilo jibu ni kama tunamtafuta Papa mpya wa kanisa
Karibu joseenitarudi mida mida mkuu...hapa ndio home siwezi kacha
Nakuona nakuonaHa haa inabidi uvumilivu na muendelezo wa maombi tu
Good evening mama parokoMama paroko mara hii jamani wakati bado bwana hajatoa jibu juu yahilo lol
Nipo mkuuhahah
Tutamletea linkHahahah hebu mdadavulie akuelewe