Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
KaribuNimewamiss pia
KaribuNimewamiss pia
MixerView attachment 498320 Karibuni wakuu
unaongea na mimi au lee??hahahh mgosi wa ndima na mgosi wa kaya ww ni msambaa
Sasa nabadilisha gia, tulikua tunaomba asubuhi, mchana na usiku sasa tunabadili gia angani..... Muda wowote ni maombi acha tuweke jitihadaBaba paroko tufunge na kuomba ili Moshi mweupe utoke
aisee tanzanite yenyewe ipo mererani au ipo wapiNi zaidi ya kukufollow.... Watu wanaitafuta tanzanite mita 300 chini ya ardhi .
Ni poa Archdukemambo vipi lakini??
Napenda vitu halisi nkView attachment 498320 Karibuni wakuu
Miii kibooookoooNi zaidi ya kukufollow.... Watu wanaitafuta tanzanite mita 300 chini ya ardhi .
Ongezea na maziwa mgando sasa halafu nisikilizie tumbo likikorofisha usiku. Otherwise ni chakula hasa cha mwanaume wa mikoani.View attachment 498320 Karibuni wakuu
NaajeMkuuu
hahahhh naongea na lee kama ndio niliyemquoteunaongea na mimi au lee??
Dawa ya nguvu za kiumehilo tumbo au pakacha mkuu?? si mchezo
kuna mtu una ugomvi nae nin??
Nipo mbona nlitekwa na pasaka tuKwema Clkey!
Uliadimika nawe ulitekwa nini?
Anamlinda sakayo![]()
Mlinzi kazini
Kuna nyama humo piaMixer
Ni hongera kwa 169kna mm acha nitoe tu hongera shem ata kama sielewi
zaidi ya ukibokoo hunMiii kibooookooo
