Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
😀 😀 😀 😀Hapo kiutawala tunaita delegation of the power.... Yani kumuachia mume kwanza to deal with the rest...... MANAGEMENT THEORY APPLIED![]()
![]()
😀 😀 😀 😀Hapo kiutawala tunaita delegation of the power.... Yani kumuachia mume kwanza to deal with the rest...... MANAGEMENT THEORY APPLIED![]()
![]()
Na ndipo wakatubatiza dark continetPia fikiria iwapo Waafrika tungekuwa weupe halafu wazungu weusi
*Tungeambiwa binadamu wa kwanza alikuwa nguruwe na hadi mafuvu tungeoneshwa
*Rangi nyeupe ni ishara ya huzuni, nyeusi amani
*Kuanzia Yesu hadi Adam wotewangechorwa weusi tii
Wazungu wametuzidi tu ujanja ndio maana wakaja kututawala badala ya sisi kwenda kuwatawala coz walitafiti wakagundua uwezo wetu mdogo wa kufikiri
......
Nakupendaaawe kachukue mmu umlete huku unajua huku hamna wanawake tuliokuwepo tuna waume zetu
Naomba tubaki wote nitakusindikizaUle mtaa wa MMU...ndio niko njiani nakaribia kufika
Dada banah, unapenda kukimbilia central
AhaaaaahUsichelewa sasa, anza safari ya kwenda, ukifik korea tupe mrejesho, ukikausha basi tutajua tayari wamesha ng'oa kichwa
Kabisa ila anahama hama sana makanisa ila akumbuke Mungu ni mmoja na ni yule yule, matendo yako ndiyo yatakupeleka peponiKumbe nilikuwa sijui je huyu sio mtumishi wako paroko
nipo hapa ktk ubalozi wa US nakata viza ya kwenda korea
nduki kaliiiiiWeeee mke huyoo
Tatizo mnapendaa vya bureeTatizo la huku mabinti hawazidi wanne na wote wana minjemba tena mikakamavu na yenye wivu ugusao mawingu. Waoaji tupo lakini waolewaji hakuna lakini hapo hapo mabinti wanalia eti waoaji hakuna. Hii naiita Makapuku Paradox...
Paroko nadhani ujumbe kaupata na hapa nitajitahidi kumkumbusha kuwa mungu hakai kwenye makanisa na akiuliz anakaa wapi ndo nitakuita kwa ufafanuzi ili umfundishe neno takatifuKabisa ila anahama hama sana makanisa ila akumbuke Mungu ni mmoja na ni yule yule, matendo yako ndiyo yatakupeleka peponi
apa poaNiajeee apaa
Mama parokooooo weeeeeewwwNgoja nipige goti nimuulize bwana kwanza
Aksante mama hivi sasa naweza kufika mtaa wa pili kwa lafiki yangu!!Njema umeamkaje?unaendeleaje?pole,ubarikiwe
Kweliii kabisaNaomba tubaki wote nitakusindikiza
Upo sahii sana valentina, weka jambo hili mbele madhabahu ya bwana, hakika utapata jibu, ila kama jibi ni negative kausha kwanza maana moyo wangu huwa ni fragile sana dada zangu sakayo na shunie wanajuaNgoja nipige goti nimuulize bwana kwanza
nduki kaliiiii
Kwema kiongoziiiNiajeee apaa