Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,937
ndiooooNimekoseaa?,
ndiooooNimekoseaa?,
hata sijuiteh nini?
![]()
![]()
kwani uwongo
hahahhh ila shedede ananifurahisha sana
kapewa likizo na boss wake kaambiwa atapangiwa kazi nyingine
kagoma hataki anataka kumlinda shunie tu
Amini aminiii nakwambia mama paroko anakupenda sana ...
Ila anamashaka na eti wahudumu wa mazabau ...hujawapa upako??

Watoto Wazuri kama wewe hawabembelezaagi wanaume.... Wanabembelezwa wao.af wewe nakuona ujue
Bora umebaki mkuuShunie i miss wewe
eb nikumbushe hiyo amemaanisha nnUtani uliopitiliza
Jamaa yeye wala hasubiri kufa ili kuanza kufaidi mabikra. Kuna watu wana raha hapa duniani!

Anajuaaausiku mwema imefanyaje
Ishu ya Rwanda ilianza baada ya kutoka kapa hapa. Shedede shahidi yangu mpaka yeye naona kageuka mlinzi eti kaajiriwa na Lee kumchunga Shunie asidabuliwe na majamaa mengine. Kuna uhaba mkubwa wa negative charge hapa JF...Lakini mkuu ulishakata shauri kwamba utawarudia mabinti wa Kinyarwanda inakuwaje uwe na wivu juu ya wa humu?
Hapo kisembe kimepotea mkuuni dalili mbaya but am not sure kama hapa makapuku ina sound hivyo
Hahahah hebu mdadavulie akueleweKuna uzi unajadili mambo ya kuandika hivyo ni dalili mbaya kwa boy
hapana sio mimi, ni yule jamaa wa kutaka kukumilik weyeusiniambie Snipes na ww pia unaumia
Nina wimbo nawataka hao wanichezee kwenye wimbo wanguTuyajue yako yepi mkuu
Niko makini mkuuLee empire kazi inaelekea kukushinda.... Usije Ukasema sikukwambia.. Remember : vulture is a patient bird.
Yaaaaaahhahahhh tukiwa wenyewe
hahahhhh sasa wa kumwambia hiyo kazi si Mr tNitafutieni mlinzi mwingine
Ha haa inabidi uvumilivu na muendelezo wa maombi tuHilo jibu ni kama tunamtafuta Papa mpya wa kanisa
Hahahaahhhaha akienda kuusoma atatukana sna aisee ule uzi nachekaga