Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Geti limefungwaKapuku mpitaji ngoja nipite
Geti limefungwaKapuku mpitaji ngoja nipite
Ni pouwaNiajeee apaa
nitarudi mida mida mkuu...hapa ndio home siwezi kachaNaomba tubaki wote nitakusindikiza
Mama paroko mara hii jamani wakati bado bwana hajatoa jibu juu yahilo lolMama parokooooo weeeeeewww
Uvuganaji => uvuruganajiMimi na wewe akili moja japo uvuganajii twatofautianaa
Ha haa basi naona kama jibu linakua negative vileUpo sahii sana valentina, weka jambo hili mbele madhabahu ya bwana, hakika utapata jibu, ila kama jibi ni negative kausha kwanza maana moyo wangu huwa ni fragile sana dada zangu sakayo na shunie wanajua
Karibuuunitarudi mida mida mkuu...hapa ndio home siwezi kacha
Aaah mkuu nakuomba tubaki maana nahitaji uwepo wako hapanitarudi mida mida mkuu...hapa ndio home siwezi kacha
Snipesnataka kwenda Korea
Ndio mama paroko hakuna kipingamizi ...Mama paroko mara hii jamani wakati bado bwana hajatoa jibu juu yahilo lol
Mali ya nani hii kabla sijafanya yangu nataka kujua mmilikiJamani mbona hivyo mh! Siye wengine walokole
AmenThank you, hallelujah ahhh tukiongeza maombi kidogo tu basi tutakua tumempata mke aliyetoka kwa bwana....
Ameniambia atarudi mida nimepeleka ombi lingine nasubiri jibuEbhuu mshikilie3
We naona unataka umwingize paroko kwenye tanuru la motoNdio mama paroko hakuna kipingamizi ...
baby katoka kunipigiaTuma ndizi
kesho zinapandishwa kwenye bus
Mkuu salamu kwanzaaaaaaMali ya nani hii kabla sijafanya yangu nataka kujua mmiliki
