Makapuku Forum

Makapuku Forum

hahahhh ila shedede ananifurahisha sana
kapewa likizo na boss wake kaambiwa atapangiwa kazi nyingine
kagoma hataki anataka kumlinda shunie tu
Shedede kani-disappoint sana. Unless kama kuna marupurupu ya siri anapata. Kutoka mtongozaji mpaka mlinzi wa mtongozwaji. Maajabu ya karne!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom