Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Wote wachagaNani ni mchagga hapa kati yenu![]()
Kwani Vipi
Wote wachagaNani ni mchagga hapa kati yenu![]()
nipo hapa ktk ubalozi wa US nakata viza ya kwenda koreaUsichelewa sasa, anza safari ya kwenda, ukifik korea tupe mrejesho, ukikausha basi tutajua tayari wamesha ng'oa kichwa
Njoo kapuku mwenzetu usipite mbali,Kapuku mpitaji ngoja nipite
Kapuku is kapuku na kabwela is kabwelaTofauti ya kapuku na kabwela ni nini
Ndiko kwenye usalama wanguDada banah, unapenda kukimbilia central
Mnavuna vitu gani wakati mvua ndiyo kwanza zimeanza, au wenzetu wa Sumbawanga mvua inanyesha nyumbani kwenu tuNdo anaenda kuvuna ??
Jamaa yeye wala hasubiri kufa ili kuanza kufaidi mabikra. Kuna watu wana raha hapa duniani!![]()
/mobile-gallery/e9f68d72d6eadcb176c1d66d10c5a9c4.jpg[/IMG]![]()
Mzee wa vigori
....
Weweee ukapuku pia ni cheohuku kapuku n jina tu watu wapo vereee
Nan tena anae kuteta?Nahisi kama natetwa
Ukifika jaribu kupiga self tuone kama bado una menoila naenda Korea kusini
huu ni uchocheziUkifika jaribu kupiga self tuone kama bado una meno
Yupi kati ya hao unafanana nae, tuanzie hapo
teh abiria chunga mzigo wakonimuachie nani thatha??
Mimi nakupenda sanaaa dada angu Sakayo, Mungu akujalie uishi maisha marefu ili nizidi kukuonaBaba paroko
Mie Nakupenda bure
Baba paroko
Mie Nakupenda bure

Unaenda wapi mpaka umepitia hapaKapuku mpitaji ngoja nipite
hahahhWote wachaga
Kwani Vipi
Naona medium of communication hapa ni ndizi ndisi ndisi ndisi tuWote wachaga
Kwani Vipi
hahahhhYupi kati ya hao unafanana nae, tuanzie hapo
Tatizo la huku mabinti hawazidi wanne na wote wana minjemba tena mikakamavu na yenye wivu ugusao mawingu. Waoaji tupo lakini waolewaji hakuna lakini hapo hapo mabinti wanalia eti waoaji hakuna. Hii naiita Makapuku Paradox...Shunie nataka nioe humu kapuku maana naona kila ntu na ntu ake