Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,670
- 50,983
Sawa sawa jitahidi kujificha sana ukifika hukonipo hapa ktk ubalozi wa US nakata viza ya kwenda korea
Sawa sawa jitahidi kujificha sana ukifika hukonipo hapa ktk ubalozi wa US nakata viza ya kwenda korea
yaapteh abiria chunga mzigo wako
AmeeeeeniiiiiSasa ni mapambano ya maombi tu tumlete valentina kanisani afunge ndoa, kazana bila kuacha,
Tuma ndiziUnasema je sasa
Sawa sawa jitahidi kujificha sana ukifika hukonipo hapa ktk ubalozi wa US nakata viza ya kwenda korea
wapenzi watazamajiTatizo la huku mabinti hawazidi wanne na wote wana minjemba tena mikakamavu na yenye wivu ugusao mawingu. Waoaji tupo lakini waolewaji hakuna lakini hapo hapo mabinti wanalia eti waoaji hakuna. Hii naiita Makapuku Paradox...
Anaogopa pichaNan tena anae kuteta?
Say hi to the little fat kid...Na ukipewa combination ya code za nyuklia usifyatue. Sepa kurudi home!nipo hapa ktk ubalozi wa US nakata viza ya kwenda korea
Najaribu kuweka taswira ktk minajili tofauti tofautihuu ni uchochezi
sawa mkuu nitakuletea grenadeSawa sawa jitahidi kujificha sana ukifika huko
Shunie huyuhahahh
mkuu naona hunitakii memaSay hi to the little fat kid...Na ukipewa combination ya code za nyuklia usifyatue. Sepa kurudi home!
Ule mtaa wa MMU...ndio niko njiani nakaribia kufikaUnaenda wapi mpaka umepitia hapa
AkweeeendeeeAkija ndo mtajua
Kumbe nilikuwa sijui je huyu sio mtumishi wako parokoAnaogopa picha
Ngoja nipige goti nimuulize bwana kwanzaMimi sijaona dhambi gani utachuma hapo, jaribu kuniweka katika mawazo yako na upime uzito wa mahaba juu yangu, halafu ndiyo utajua unafaa kuwa mama mchungaji au lahasha
Komaaaa kumtajaAta mi najua ni jina tu but nimeuliza tu shunie
Weeee mke huyoomchane huyo