Makapuku Forum

Ameeen
 
KESHO YANGU NI NZURI

YEREMIA 29:11

Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi asema BWANA,ni mawazo ya AMANI wala si mabaya ,kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho.

[emoji117] Tukimtegemea Bwana katika Roho na kweli hakika kesho zetu zitakuwa zenye thamani sana mbele zake.
[emoji117] Usichoke ndugu Ebu kaza mwendo ,upate kufika mbinguni

[emoji117] Mungu wetu ni wa kila kitu.

Mungu atusaidie sana Tumpende ,Tumheshimu,Tumtegemee maana daima anatuwazia mema...mbarikiwe sana.[emoji120]
 
Amen
 
Asante mtumishi
 
Amiiiinaaaaaa ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…