Makapuku Forum

Ila hujanipa neno post ya nyuma
Nikwambie neno gani mkuu?
Ndio maana nilipiga kimya tu
Propaganda ndo nyingi ila kiuhalisia USA ndo Taifa korofi diniani na huwa linataka kusapotiwa kila linapomchukia mtu linaleta propaganda tu

Hata leoarushe makombora yake na sio kujambajamba tu
Na km shida eti Kim ni dokteta basi waanze kwanza na utawala wa Malkia wa Uingereza
.......
 
Noo Kim mapanki simwamini japo ana mikwara ...ukorofi wa USA haupingiki na CIA inasaidia sana ...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…