Makapuku Forum

Makapuku Forum

This little fat kid (in senator John McCain's voice) anacheza na moto. Vibomu vyenyewe vya nyuklia havifiki hata vitano na hajawa hata na delivery system ya kueleweka lakini makelele kibao. Trump mwenyewe fyatu huyu anaweza kweli kufanya aliyofanya Harry Truman kwa Hiroshima na Nagasaki. Dunia nzima haitakuwa salama!
Sawa mmarekani
Mwezi unakatika sasa hujarusha hata kanyanya kamoja huko Korea

.....
 
Fanya kazi yako inspector
Umeanza kuajiri walinzi sasa. Kuoa mwanamke famous napo shida tupu. Utaajiri walinzi sana lakini jamaa kula watakula tu. Mlinzi mwenyewe Shedede? Mwenyewe alikuja hapa na spidi kali akimtaka Shunie leo ndo kageuka inspector. Anyway, kuchapiwa ni siri ya ndani mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom