Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,870
hivi naanzaje unajua mm penda penda eenh lee ananitosha sina ninachokosaNakupenda & Unanipenda = Tunapendana..
hivi naanzaje unajua mm penda penda eenh lee ananitosha sina ninachokosaNakupenda & Unanipenda = Tunapendana..
Mkuu usijali nikijifunza kutengeneza nitakupa tenda ya kusapulai
thawa mkuuHahahaHahaaaa mm mwenyewe Sakayo alinikubalia kabisa ile nataka nimtambulishe huku kumbe mr T kashamnasa..
Nimebaki kumwita shem .ila nikikumbuka mistar niliyotiririka roho inauma..
mhShunie kutongozwa ni lazima. Mwanamke ana mvuto wa ajabu hapa JF.
Wasimtongoze mbele yangu aisee bwana shimbaShunie kutongozwa ni lazima. Mwanamke ana mvuto wa ajabu hapa JF.
ahhahahahahBaba paroko
Kula sadaka Siwezi mie
Pole jamaniWivu sina ila roho inauma mamaaaa
AahaaaaaaaaHahaha
Hebu nikumbushe mistari yako
au ile ya kuwishiwa bday unakumbuka chit chatHahaha
Hebu nikumbushe mistari yako
hivi naanzaje unajua mm penda penda eenh lee ananitosha sina ninachokosa
ndio hapo shedede![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Safi shem huyo atakupa nini kwa dr.lee kila kitu unapata
Shunie au nitumie mlango wa pili kukutoa??hivi naanzaje unajua mm penda penda eenh lee ananitosha sina ninachokosa
Namsubiria mume wangu bhanambona ulipotea hivi
Yeye alisema kuwa huwa anapenda kuwashika ndani ya kufuli zao. Naona akina mama nao wamemjibu kuwa wakijaribu kumshika hawaambulii kitu. Fulana hizi walivaa kwenye maandamano ya kupinga kufungwa kwa baadhi ya matawi ya Planned Parenthood - vituo vya afya ya akina mama ambavyo pamoja na kutoa huduma kama kupima kansa ya matiti, ovari, kutoa kinga ya uzazi, ngono salama pia hujishughulisha na kutoa mimba.![]()
![]()
aiseee
Hahahahahahha kama sio yeye ingia pm uliniacha kwenye mataa si ungeniaga
mm nina Yesu anaenilinda we tumia ata mlango wa tatuShunie au nitumie mlango wa pili kukutoa??
Niongee na wazee wa kwetu...
NiambieShemeji
kwahiyo dada sasa hivi unaniletea pozi ata pm hufunguiNamsubiria mume wangu bhana
Usinifuatilie nitakufanya kitu kibaya...![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Safi shem huyo atakupa nini kwa dr.lee kila kitu unapata