Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,666
- 50,981
Amina mtumishinipo kwenye mikono salama namshkuru Mungu
Amina mtumishinipo kwenye mikono salama namshkuru Mungu
InspectorShemu unanichulia wewe sio bure![]()
![]()
![]()
Abiria chunga mzigo wakomy baby lee empire
DuuuuhShunie leo unaniambia hivy sawa tu labda usije kulee ambapo lee hayupo
NipooNgoja uone najua kuna sehem haupo hua nakutana na shunie tu
Mutu ya watu mimibaba mchungaji ni papaa
😀 😀 😀 😀Hahaha mkuu basi mjini kuna kufaa, njoo tu mjini huko kijijini huwezi kulima, unagonga kashata za ufuta na rojo hahaha, wenzako waulima wanagonga dona ulenda na harage
Vipi nyie ndio mnaanza kuuza maharage...
Huku migebuka ni ya shida sana.
Mapenzi bila kuchizika hakuna mapenzibaby achana anafurahi akikuona hivyo hukumbuki mpk alikutunga lile jina
Jukwaa la wakubwa & Pm upo?Nipoo
Mkuu, hiyo ya safari ni historia ndefu, kuichuguza ni kama kuyafukua makaburi. Longtime sijaonekana kwenye Jukwaa letu pendwa, vipi unaenda kuwaona kondoo wa huko.Hahhahaha sijakuona muda sana ulifichwa na nani mkuu, shunie namuona namuona Shilawadu Shilawadu ubuyu ubuyu, sitaki kujua mliishia wapi kwenye safari ile ya kutafuta uokovu, ila sio mbaya naona yupo kwenye mikono salama ryt now
Jamaa unaonyesha una roho mbaya au mchoyo...Mi nipo hapa mjini soko halieleweki kesho natamani nirudi kwanza kijijini
JLWMkuu, hiyo ya safari ni historia ndefu, kuichuguza ni kama kuyafukua makaburi. Longtime sijaonekana kwenye Jukwaa letu pendwa, vipi unaenda kuwaona kondoo wa huko.
Kumbe tupo wengi tuliosalitiwa, hata mimi Sakayo leo kaniambia hanikumbuki kabisaa kisa kapata kipya nimenawa mkono kwa kweli nimelia kimya kimya yani nimemkuza kiimani, tumekua tukisali wote yaniii naomba kwaresima iendelee tu maana wasaliti wapo badoShunie leo unaniambia hivy sawa tu labda usije kulee ambapo lee hayupo
Mkuu kwaresima nilitoka kidogo ila nitarudi maana vijana huwa mnaletaga vitu adimu huwa vinanifundusha utundu kidogo nikikaa na mama yenu basi raha sanaMkuu, hiyo ya safari ni historia ndefu, kuichuguza ni kama kuyafukua makaburi. Longtime sijaonekana kwenye Jukwaa letu pendwa, vipi unaenda kuwaona kondoo wa huko.
Hahaaaa mm mwenyewe Sakayo alinikubalia kabisa ile nataka nimtambulishe huku kumbe mr T kashamnasa..Kumbe tupo wengi tuliosalitiwa, hata mimi Sakayo leo kaniambia hanikumbuki kabisaa kisa kapata kipya nimenawa mkono kwa kweli nimelia kimya kimya yani nimemuza kiimani, tunekua tukisali wote yaniii naomba kwaresima iendelee tu maana wasaliti wapo bado
I see alitishaJE WAJUA?
Ronaldinho alianza kusikika kwenye vyombo vya habari akiwa na miaka 13 baada ya timu yake kushinda mabao 23 - 0 na yote akifunga yeye mwenyewe.
Kondoo watakua wanachunga watu au mkuu?Basi ni nchi ya Kondoo
Mkuu nimewahi kukaa mjini ndo nilikuwa nakula sana hizo za ufutaHahaha mkuu basi mjini kuna kufaa, njoo tu mjini huko kijijini huwezi kulima, unagonga kashata za ufuta na rojo hahaha, wenzako wakulima wanagonga dona ulenda na harage
Kwa nini mkuuJamaa unaonyesha una roho mbaya au mchoyo...
Seriously.