Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Nakuaminiaaaboss usijiangaishe na huyo nitadil nae
Nakuaminiaaaboss usijiangaishe na huyo nitadil nae
Aisee
UshindweeKwani ww humtoshi mbona ana tu vijidudu twa nje...
Mm nakupenda bwanaa
Niko poa bossUko poaa ?
Yupo sema mishe tuYuko wapi huyo
Huko jeshini hakuna vibongeAisee
Unaweza katiza kwa chini namna walivyonyooka
Alikuja kimya kimya basimadame S jana tulikua nae sana
Ni juzi jumapiliAlikuja kimya kimya basi
...atomboke...? Ni neno geni hili ama? Yaani kulitaipu mtu inabidi uwe macho kweli kweli kwa sababu kosa kidogo tu waweza kujikuta ushaandika tusi!unakumbuka siku ile acha atomboke nitakutumia vocha niwish sijui vimeishiaje na hiyo bday nahisi imepita
Jamanii ukauzu wangu upiiHujaniudhi
Ulikuwa kauzu Yaani
Mfuate PM halafu uje ulete mrejeshoNilijua tu ndomaana ata skuedit afu faiza foxy namtafuta sana yule bibi tampata wapi mzee wa poli



MmmmmhShkamo
Kumbe unakuwaga muoga eeh
Andika vizuriNiko poa boss
Kuna taarifa niliziskia jana boss
Skuzipenda hata kidogo
Yaani boss wewe ni wakumpa taraka shunie
Eti kisa kamtaja pogba kweli boss
Fikiria mala mbili mbili boss
Afu mondray anaitaji risasi ya kichwa boss
😡 😡 😡 😡Mkuu komaaa ushaambiwa hakutaki hata kukuona aisee naomba toka inje bhna
Mkuu au utaogopa kusaplai![]()
![]()
![]()
thawa mkuu
Ushasahau eehJamanii ukauzu wangu upii
This little fat kid (in senator John McCain's voice) anacheza na moto. Vibomu vyenyewe vya nyuklia havifiki hata vitano na hajawa hata na delivery system ya kueleweka lakini makelele kibao. Trump mwenyewe fyatu huyu anaweza kweli kufanya aliyofanya Harry Truman kwa Hiroshima na Nagasaki. Dunia nzima haitakuwa salama!
Hata sikuelewi. Unamlinda ili iweje? Acha watu wale mzigo bana...![]()
![]()
![]()
ndio nina wivu ila wivu wakilinzi
sio geni ni neno la kilingala...atomboke...? Ni neno geni hili ama? Yaani kulitaipu mtu inabidi uwe macho kweli kweli kwa sababu kosa kidogo tu waweza kujikuta ushaandika tusi!
We jipendekeze utapigwa risasi ya shingo