Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,870
hahhhahahTatizo nyie mbwembwe nyingi uku kazi hamziwezi wakùu mmekalia kula maaaiiiooonizeee
hahhhahahTatizo nyie mbwembwe nyingi uku kazi hamziwezi wakùu mmekalia kula maaaiiiooonizeee
Upo kata ipiSawa mkuu mjini wapi wakati hapa nipo mjini
mm sikutaki yaan ata akilini kwangu haupo aisee lee ananitoshaNamtaka shuniiii
mndali habar za simba umezipata wapi mbona majibu ya ile rufaa bado hayajatoka nimetoka kuangalia habari za michezoHilo nalojua mkuu
Mbeya jiji kata ya nzovweUpo kata ipi
Shunie leo unaniambia hivy sawa tu labda usije kulee ambapo lee hayupo

Naaam bossshedede
Mkuu kuna mtu mtu ameituma kwenye group ya WhatsApp na kuna mtu alikuwa amesha iandika hata hapa jfmndali habar za simba umezipata wapi mbona majibu ya ile rufaa bado hayajatoka nimetoka kuangalia habari za michezo
Naam bossInspector
Mbona ya ukhuty huyasemiHahaaaa mm mwenyewe Sakayo alinikubalia kabisa ile nataka nimtambulishe huku kumbe mr T kashamnasa..
Nimebaki kumwita shem .ila nikikumbuka mistar niliyotiririka roho inauma..
Mama mchungajiI see alitisha
Mkuu ata mimi kashata najukutaga uwa nakula sanaMkuu nimewahi kukaa mjini ndo nilikuwa nakula sana hizo za ufuta
Yeap!!!Kondoo watakua wanachunga watu au mkuu?

boss usijiangaishe na huyo nitadil naeKote nipo
Ndio nani?Mbona ya ukhuty huyasemi
the body guard from call me jay
tumekumiss na boss wakoNaaam boss
Kwani ww humtoshi mbona ana tu vijidudu twa nje...mm sikutaki yaan ata akilini kwangu haupo aisee lee ananitosha
Tatizo nyie mbwembwe nyingi uku kazi hamziwezi wakùu mmekalia kula maaaiiiooonizeee

Kajamaa wanakutumikisha kama kuli..