Shunie anakusalimiaaHajakiandika mwenyewe. Huwa anatumia ghost writers na wengine wamemshtaki kwa kutowalipa; na mawazo mengi yaliyomo katika vitabu hivi mara nyingi ni common sense tu (kama ya Shigongo) na mengi hayana practicality yo yote ndiyo maana inasemekana ana madeni mengi kuliko assets + bankruptcy kibao. Wanasema hii ndo sababu kuu hataki kabisa kuonyesha makaratasi yake ya kodi ambayo anaogopa kuwa yatamuumbua kwa kuonyesha kuwa ana hela kidogo kuliko anavyotamba.
Hana u-gangster wo wote huyu. Kwa vile ana Mrs basi si ajabu anajiona "mwanaume" kweli.Gangster in parliamentary,
Ahaaaaaaah unamjua unamsikia Baba mwenye muumini wako ??Hahhahaha ananiona nimefanya nini, halafu sikai kwa baba mwenye nyumba, mtumishi wa Mungu nipo kwenye nyumba iliyojengwa kwa sadaka, ulishamuona mzee wa upako amepanga
Haahahahha mwambie shushushu adondoshe nambaCCM kuna watoto wakali aisee
Msalimie pia. Mwambie Wanyarwanda wanamsalimiaShunie anakusalimiaa
Hahahaha kuna haja ya kupiga maombi sasaAhaaaaaaah unamjua unamsikia Baba mwenye muumini wako ??
Vickie Kamata huyo. Ukizuka viwanja vya Chimwaga utagongana naye tu. Nadhani ni Mrs huyo hivyo apewe heshima zake kama mke wa mtu. Hata sijui kwa nini Shushushu kamuweka hapa!Haahahahha mwambie shushushu adondoshe namba
Vick kamata kazuri jamani kazuri kama sakayo na shunieVickie Kamata huyo. Ukizuka viwanja vya Chimwaga utagongana naye tu. Nadhani ni Mrs huyo hivyo apewe heshima zake kama mke wa mtu. Hata sijui kwa nini Shushushu kamuweka hapa!
Unaenda wapi labdaNdukiiiiii
Hapana Mtumishi, niko na mume tayariumekua mpole sana, wachungaji pia tunaruhusiwa kuoa, toa shaka nakuaanda kuwa mama mchungaji
SawaHapana Mtumishi, niko na mume tayari
Hahaha
Mr TNUKUU YA LEO
If you love life, don't waste time for time is what life is made up of
Kama unapenda maisha, usipoteze muda , muda ndio unaofanya kuwepo na maisha
Haya maneno yalipatwa kutamkwa na mwigizaji/mtengeneza filamu na mcheza judo wa kichina Lee Jun-Fan alimaarufu kama Bruce Lee.
Bruce Lee alizaliwa 27/11/1940 Huko Franscisco Marekani na kufariki 20/07/1973 huko Kowloon Tong, Hong kong.
Bruce Lee anakumbukwa kwa kazi nzuri kama Fist of Fury, Way of the Dragon na The big Boss.
Kifo cha bruce kinaacha utata mkubwa japo madaktari wa hospital ya Queen Elizabeth wanadai alifariki kwa allergy ya painkillers za meprobamate.
Time is life, life is time..!
Mchana mwema wakuu.
Sielewi yaaniHongera kwa 167k
Siwaelewi ujueBaba paroko kuwa siliasi ...Baba mwenye nyumba anakuonaa
Na wewe mlinzi unafanya kazi gani
Sitakiiii uchochezi ujueVick kamata kazuri jamani kazuri kama sakayo na shunie
Yani leo umenikana infront of public, kumbe kwaresima inaendeleaSitakiiii uchochezi ujue
Yani leo umenikana infront of public, kumbe kwaresima inaendeleaSitakiiii uchochezi ujue
Sasa akupoteze kwa mrengo gani?Hahaha
Unataka yule mchaga anipoteze kwenye uso wa dunia sio