we baba ungejua nilikua na ugomvi na huyo mtu yameisha jana pls usinirudishe niliyokua sakayo ndio anajua hali niliyokua nayo ongea utani mwenzio haelewi tatizo utaniletea mm
If you love life, don't waste time for time is what life is made up of
Kama unapenda maisha, usipoteze muda , muda ndio unaofanya kuwepo na maisha
Haya maneno yalipatwa kutamkwa na mwigizaji/mtengeneza filamu na mcheza judo wa kichina Lee Jun-Fan alimaarufu kama Bruce Lee.
Bruce Lee alizaliwa 27/11/1940 Huko Franscisco Marekani na kufariki 20/07/1973 huko Kowloon Tong, Hong kong.
Bruce Lee anakumbukwa kwa kazi nzuri kama Fist of Fury, Way of the Dragon na The big Boss.
Kifo cha bruce kinaacha utata mkubwa japo madaktari wa hospital ya Queen Elizabeth wanadai alifariki kwa allergy ya painkillers za meprobamate.
Time is life, life is time..!