Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Mkuu najiona nazekaa Jana nimekutana na jamangu tulikuwa nae mashambani kakimbilia mjini namwona kanawili na ana hela ya kutosha kuliko Mimi mkulimaWe baki huko tuu, tutapata wapi mazao wa mjini