Bongo.Com
Member
- May 17, 2015
- 52
- 20
Pombe kwangu haramu.. OkMpe burudani wine achangamke
Pombe kwangu haramu.. OkMpe burudani wine achangamke
Juice inantoshaMpe burudani wine achangamke
AsanteePoleni wana Yanga woteee.....
Hiyo make-up hahahahah kama kinyago![]()
Walisema haolewi...
...........
Jini au!![]()
Walisema haolewi...
...........
Mmejitahidi kulimudu jukwaa japo leo limepooza sana, hongereniUsijali mpenzi wangu. Thanks for your care love
Asante sanaMmejitahidi kulimudu jukwaa japo leo limepooza sana, hongereni
Ila mpunguze kuongea mweee!!!! Kama namuona Jerry Muro sijui ataongea Nini......Asante sana
Evelenk..nimekumissPoleni sana Yanga
Missing you more. ....uko pouwa?Evelenk..nimekumiss
Pouwa sana but upwekeMissing you more. ....uko pouwa?
Upweke upi Tena wakati waremboz wamejaa humuPouwa sana but upweke