lizziebettie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2014
- 2,873
- 11,966
Kwanini mpenz?Sina raha baby
Kwanini mpenz?Sina raha baby
Sitaki kuamini kabisaNi mkosi dk ya 95
..............
Yanga imefungwa baby wanguKwanini mpenz?
Polee mpenz wangu,Yanga imefungwa baby wangu
Thanks my lovePolee mpenz wangu,
Usiumie honeyThanks my love
Tumepelekwa CAF cupSitaki kuamini kabisa
Asante sana DadaPoleni wana Yanga woteee.....
Mimi nilikuwa nataka Leo tufute uteja kwa hawa waarabuTumepelekwa CAF cup
Bado wa kimataifa
Sio mbaya
..................
Tumecheza vizuriMimi nilikuwa nataka Leo tufute uteja kwa hawa waarabu
Usijali mpenzi wangu. Thanks for your care loveUsiumie honey
Nipo kwa ajili yakoUsijali mpenzi wangu. Thanks for your care love
Halafu makao ya CAF yanatakiwa yahame misriTumecheza vizuri
Tatizo waarabu ujanja mwingi
CAF lazima tutavuka
................
Asante sana my loveNipo kwa ajili yako
Kaongea ukweli mtupu![]()
Msikie Edo
..........
Halafu makao ya CAF yanatakiwa yahame misri
Hata mimi nashangaa sana![]()
Kila cku tupangiwe mwarabu halafu tunamalizia ugenini
..............