Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
82d93f3c6360b301a32657f0e68a6b55.jpg

Wazee wa dua mbaya
................
 
Makapuku jeshi kubwaaaaaaaa🙂🙂🙂

Naomba tupitie hapa atleast hata kwa dakika tano or mbili tukawatetee makapuku wenzetu, kuna jamaa mmoja huko ameleta ukongwe wa kiboya.

Mvulana Australia aweka jina lake Wikipedia bila kugundulika kwa siku mbili

Mchungaji jambilo nimekuona unatoa darasa! Safi sana kapuku mwenzangu unayejisoma.

Tukiingia humo tusisahau kuwapestia url ya forum yetu ili waje huku😉
 
Daah nimepitia huyu Jamaa mabihaviourist sijui yukoje
 
Back
Top Bottom