sizzya007
JF-Expert Member
- Mar 15, 2016
- 773
- 2,422
Daah nimepitia huyu Jamaa mabihaviourist sijui yukoje
Jamaa chenga kinyama, afu by look of it anaonekana ni kilaza tu ila analeta nyodo za kifala
Daah nimepitia huyu Jamaa mabihaviourist sijui yukoje
Yes!Jamaa chenga kinyama, afu by look of it anaonekana ni kilaza tu ila analeta nyodo za kifala
Yes!
Mishe vipi lakini...
KaribuMbona huku ukapukuni sipasomi somi, ama ndo ushamba mzigo!?
Goodmorning![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Morning
Kapukuz
...............
Mbona huku ukapukuni sipasomi somi, ama ndo ushamba mzigo!?
Nilifikidi kaja kuleta magumashiKaribu mkuu, stick with us for a day utapaelewa tu.
Mkuu bitoz, G. Man ni member mpya amafollow link niliyoitupia somwhr, be gentle
Namaanisha ushamba wang mkuu, usipende kukurupuka kujib negative wakat hujajua nimemaanisha nn, asant kwa hii karb yako lkn!@Ndio tuna ushamba mzigo lakini wewe una upumbavu kontena la Maersk
...............
SorryNamaanisha ushamba wang mkuu, usipende kukurupuka kujib negative wakat hujajua nimemaanisha nn, asant kwa hii karb yako lkn!@
Nilifikidi kaja kuleta magumashi
Nimefuta Yale maneno
I'm sorry
.................
Asant sana mkuuKaribu mkuu, stick with us for a day utapaelewa tu.
Mkuu bitoz, G. Man ni member mpya amafollow link niliyoitupia somwhr, be gentle
Hamna shida kiongoz misunderstanding tuSorry
Nimeishaedit
Ipotezee
Lugha gongana
Feel OK
...............
Kasome post za page 1Asant sana mkuu
Ni mshamba tu wa makapuku forum ila jf huwa naingia na najua majib ya huku kwa kias fulan😀😀😀 ebu rudi kwenye post yake umkandamije na li-like limoja mwanawane.
Ebhana G. Man kokote ulipo karibu, huyo bitoz ndo raisi wa pandw hizi, mtu muhimu kumjua....wengine utatujua eventually, huku ni likes na kupeana info mwanzo mwisho, dharau na kejeri mwiko