Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Utajuana naye ndo umemuona ana thamani baada ya kupewa tarakacha moto nimekiona sana aisee bado kufwaa tu mpk nimemlilia dogo alikua anacheka hana mbavu
Utajuana naye ndo umemuona ana thamani baada ya kupewa tarakacha moto nimekiona sana aisee bado kufwaa tu mpk nimemlilia dogo alikua anacheka hana mbavu
lee jamaanUtajuana naye ndo umemuona ana thamani baada ya kupewa taraka
Ebuu niacheemarcus rashford na ander herrera kingine![]()
hahahha si ulitaka majina ya wafungajiEbuu niachee
1969 - Sirhan Sirhan anatiwa hatiani kwa kumuua Robert F. Kennedy, mdogo wa Rais wa zamani wa Marekani John F. Kennedy.
Raia huyo wa Palestina anatumikia kifungo cha Maisha kwa kosa hilo.
Robert F. Kennedy aliuwawa huko Los Angeles alipokuwa katika kampeni za Urais.
Kufuatia kifo hiko, idara ya ulinzi kwa viongozi nchini Marekani( Secret Service ) ikaamua kuweka ulinzi kwa wagombea wa nafasi ya Urais kila uchaguzi mkuu unapofika.
Jamani nini ...ok acha mambo ya jana bhasiii ila kama unataka ata Leo ushindwe kula lunch endeleaa kunivuruga na Chelsea yangu ...lee jamaan
Usiendekeze ubishi fuatilia mtiririko wa madaMkorea Bado hana silaha za kubwa kiasi iko km unavyofikiria
Lkn yupo kwenye process za kuwa na silaha nzito zaidi
Kila kitu kinachofanyika korea kinajulikana na nchi za magharibi
Nakumbuka hata Sadam hussein alikuwa jeuri kuliko hata huyu wa irani na North Korea
Lkn tunajua kilichotokea
okay baby naacha sikuvurugi tenaJamani nini ...ok acha mambo ya jana bhasiii ila kama unataka ata Leo ushindwe kula lunch endeleaa kunivuruga na Chelsea yangu ...
Bay of Pig InvansionWeka nyama mkuu tupate mawili matatu





Kwanza kubali kuwa tumewaonea huruma na kuwasaidiaokay baby naacha sikuvurugi tena
lasivyo naachiaa dude
ni kweli mmetuonea huruma na kutuachiaKwanza kubali kuwa tumewaonea huruma na kuwasaidia
![]()
![]()
lasivyo naachiaa dude
ilo dude n dude gan unalotaka kuachia
Bay of Pig Invansion
17-19 April 1961.
SEHEMU YA KWANZA.
Kwanza kabisa taifa la Cuba na Marekani walianza uhasama wa kisiasa wakati wa vita ya Spanish-ameican war mwaka 1898.
Cuba ilikuwa ni miliki/koloni la wahispania kwa miaka mingi ktk karne ya 19.
Baada ya hapo Cuba ilikuwa miliki ya marekani hadi Cuba ilipopata huru 20/05/1902 kutoka kwa wamerekani na wakamuweka mcuba-mzaliwa marekani Bw. Tomas Palma kuongoza Cuba kwa mara ya kwanza.
Baada ya hapo Cuba ikaja kupata vijana kama Castro wakaondoa mapandikizi ya wamarekani serikali.
Back to the Topic sasa..
Mwaka 1959 marekani chini ya Dwight D. Eisenhower ilikuwa kwenye Vita baridi ambayo kipindi hiki mirengo ya kisiasa ya kibepari na kikomunist ilionyesha tofauti zao sana..
Sasa Cuba chini ya Castro ilifanikiwa kutaifisha mashamba ya kahawa, mashamba ya miwa na viwanda vya wamarekani nchini cuba ila kubwa zaidi ni kuwa Cuba iliweza kujenga ushirika mkubwa na nchi za umoja wa kisovieti ambazo ndio zilikuwa vitani na marekani
kwa hiyo marekani alitaka ampindue Castro manake anakuwa threat sasa..
CIA chini ya mkurugenzi wa wakati huo Bw. Allen Dulles wakaja na mpango wa kumpindua Fidel castro na serikali yake...
Inaendelea sehemu ya 2..
1970 - Chombo cha Apollo 13 charejea Duniani salama licha ya hitilafu zilizojitokeza huko mwezini.
Wasifie wachezaji watatu waliowasaidia wa chelsea ...dude unalijuaa wewe kama unataka kuvunja simu sema nilishushe dudeeni kweli mmetuonea huruma na kutuachia![]()
ilo dude n dude gan unalotaka kuachia
sijaangalia mpira labda nikisie tuWasifie wachezaji watatu waliowasaidia wa chelsea ...dude unalijuaa wewe kama unataka kuvunja simu sema nilishushe dudee
Kumbe unaongea tu hujui ...wewe mbona ulikuwa unashadadia kama ulikuwa OTsijaangalia mpira labda nikisie tu
hahahha nimeona kwenye acc ya manchester insta hazard naskia kabanwa sana janaKumbe unaongea tu hujui ...wewe mbona ulikuwa unashadadia kama ulikuwa OT
Wasifie hazard ,Pedro na costa kwa kutowafunga
Unaendelezaa siyooo ....umeshiba kwanza ??hahahha nimeona kwenye acc ya manchester insta hazard naskia kabanwa sana jana
1957 - Afrika Bambaataa anazaliwa.
Dj wa muziki wa Hiphop kutoka nchini Marekani.
Mkuu huyu alimuua Robert F. Kennedy na sio JFK.![]()
![]()
Sniper![]()
...