Makapuku Forum

Siku ya jana ilianza vizuri sana ila ilikwisha vibaya mno, baada ya kufurahia siku ya Chaplin na my lovely son + ushindi wa United, wakati namquote Madame S kuhusu Pongezi nilipokea simu toka kwa Mama na kunipatia taarifa ya msiba Dada yangu amefariki huko Mbeya so ndugu zangu nitakuwa nanyi kwa vipindi tu humu ili kushughulikia pumziko la dada.
 
Pole mzee
 
Ni km wanavyohangaishwa na Dogo Mapanki wa North Korea nusu karne sasa wanapiga mikwara tu hawathubutu hata kurusha nyanya tu huko Korea
.....
 
Pole sana kaka...

Mungu awape familia uvumilivu na amani ktk kipindi hiki cha mpito
 
Pole sana
Na ww ni mtu wa Mbeya? duh nimepamiss
....
 
Pole sana mkuu
 
Ni km wanavyohangaishwa na North Korea nusu karne sasa wanapiga mikwara tu hawathubutu hata kurusha nyanya tu huko Korea
Duuh, afu North korea juzi ameshindwa kufanya test ya ICBM

Kuna wadau wanasema yalikuwa fake lakini pia wako wanaohisi kitengo cha Cyber-war cha marekani kimeingilia mfumo wa majaribio wa missiles za nchi hiyo ya Korea kaskazini.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…