Makapuku Forum

Amen
 

Namkubali huyu babu mvuta fegi kubwakubwa
Alikuwa kauzu kwa Wamarekani km dogo mapanki wa Korea...ikumbukwe aliingia madarakani baada ya kushirikiana na makamanda kibao akina Confugesse(avatar ya Mussolini) kumuondoa Rais aliyekuwa ni kibaraka wa USA
Yalijulikana km September Revolution
....
 
 
Huyu jamaa alikuwa kichwa balaa...huyu ndio mtu aliyeweza kuvuka vikwazo vya US tuu...

Watu kama kina Noriega walitiwa mikononi ili hali walitrainiwa na us..

Ila fidel alikuwa intellijensia kubwa sana US ..

Us walishamplant hadi mchumba wake wa zamani akampige Fidel risasi...it didn't work

Jamaa alikuwa chuma cha pua..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…